Earths Final Warning. What the Bible says about the current events that are transpiring around you today.

Swahili

           
         
“Upende usipende, tayari au la, zote tumehuzishwa ndani na nje, bila kizuizi chochote, katika njia tatu za mashindano ulimwenguni.
Wengi wetu si washindani, lakini ni wahusika kwa vile mashindano ni nani atakayeiunda serikali ya kwanza ya
muungano, ambayo haijawahi kutokea katika jamii za kimataifa.... Shindano liko nje kwa sababu tayari limeanzishwa, na hakuna
njia ya kulirudisha nyuma au kulikomesha”. Malachi Martini, Keys of this Blood, kurasa 15
Onyo La Mwisho Kwa Dunia
Kijitabu hiki chakupa mafundisho ya biblia yaliyo muhimu sana. Pia yakuletea mafundisho ya unabii ya mambo yajayo. Unabii wa ufunuo
13:11-18, yatuambia kwamba Marekani itainuka kama nchi yenye uhuru. Nchi ya watu, kwa watu,na kwa ajili ya watu wake Kanisa isiyo na
Papa na serikali isiyo na Mfalme. Lakini ajabu, nchi hii itanena kama Joka.Kwa ajili ya ibada ya mizimu, na mafundisho ya uwongo, watu
watadanganywa kuamini uwongo, kuwa Mungu amebadilisha Sabato toka Jumamosi, siku ya saba ya Juma, hadi Jumapili, siku ya kwanza
ya Juma. Watadai bunge ya Marekani ibadilishe katiba yake. Sheria ya Jumapili itawekwa, kwanza watu wasiofuata sheria hii watatozwa faini, kisha kufungwa gerezani, hatimaye kifo. Bibilia yaita hii ALAMA YA MNYAMA. Kila nchi katika uso wa nchi itabuni sheria kama hizo. Maangamizi makuu yatujia kwa upesi kama mwivi ajavyo usiku na kuuteka ulimwengu kwa msha-ngao mkuu. Dunia yote itagawanyika kuwa MAKUNDI MAWILI pekee, Watunza Sabato na Watunza Jumapili.
Tazama Yuaja

Bonus

Sample

Vita Kuu
Baina ya Kristo na Shetani
Vita Kuu
Baina ya Kristo na Shetani.pdf
Shetani una uwezo hata kufanya watu watokewe na mifano ya rafiki zao waliokwisha fariki. Mfano huu ni kamili; maneno na sauti huigizwa swasawa. Wengi hufarijiwa kwa kuamini ya kwamba wapenzi wao wamo katika hali ya heri mbinguni, na bila kutambua ya kwamba wamo hatarini kusikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani.